Bidii yetu imetiwa nguvu na utaalamu na furaha katika kutumia raslimali pori bila kuimaliza © Adrian Lombard
Tovuti hii ni matokeo ya Umoja wa kimataifa wa Kuhifadhi mazingira (IUCN). IUCN ilianzishwa mwaka wa 1948 na kwa sasa kuna mataifa 84 kama wanachama pamoja na zaidi ya mashirika 1100 yasiyo ya kiserekali (NGOs), IUCN ni shirika chunguzi la kimataifa la kipekee katika kongamano la Umoja wa kimataifa (UN) lililo na ujuzi halisi wa utofauti wa kimazingira,. uhifadhi wa mazingira na utumizi mzuri wa raslimali ya mazingira.
Ujumbe katika tovuti hii uliwekwa mkataba katika Kingereza, na halafu ukatafsiriwa, na wataalam 500 kwa kusudi la matumizi mazuri kwa muda na uthibiti wa mifumo ya ikolojia katika tume ya IUCN kwa uthibiti wa mfumo wa ikolojia, moja ya tume sita. Ujuzi ulikusanywa kwa msaada wa kikundi mojawapo husika kuhusu matumizi mazuri kwa muda na jinsi ya kujikimu, ambayo ni jitihada za kwa pamoja za kamati ya viumbe kuishi (inajulikana sana kwa orodha zake nyekundu) na kamati ya Mazingira Uchumi na sera ya kijamii. Mitandao shirika katika mtandao wetu wa ujuzi unaoendeshwa na wataalam IUCN katika mikoa na nchi husika.
Tunatumai kwamba kusoma mtandao huu kutakusaidia kuelewa dunia asili na mchango spesheli kutoka kwa vikundi tofauti vya watu wanaotangamana na viumbe vya mwituni kimataifa. Pia tunakuelekeza kupitia lugha yako kwa mitandao mingine inayotoa habari na historia kwa mada hizi unakoishi. Tafadhali fungua akili zenu kwa habari njema ya maendeleo ya uhifadhi, iliyokusanywa ulimwenguni kote, na uitumie kwa hali yako.
Mada katika kurasa hizi zinalenga kuhimiza: